TIGO NA INFINIX WATANGAZA PROMOSHENI KUBWA KUWAHI KUTOKEA

• Wateja Kupata hadi GB 96 bila malipo kwa mwaka mzima baada ya kununua. Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam tarehe 11 Agosti 2022, Kampuni inayoongoza kwa maisha ya kidijitali ya Tigo Tanzania, imeshirikiana na Infinix kutangaza promosheni mpya kutoka kampuni ya simu ya Infinix inayoitwa ” KALI KULIKO 2022″ ambapo wateja wanaonunua aidha Infinix